KATIBA BORA ILI TUWE SALAMA.

Ni aibu kubwa kama taifa kuburuzwa.Hakuna aliye salama.Tuseme hapana.

uoga umetuzidi! hat kusema tu kweny mitandao watu wanaogopa!.. bt tukipata mtu jasir mwenye mikakat kam enz za dr slaa akatuongoza katiba tutapata tu bila ivo tusubir kizazi kijacho!

Nani sasa atupe Katiba mpya