Kawasaki... China man keti hukoooo....

My trusted sheppart and I, we’ve been through a lot.

Tumeng’ang’ana na Honda…
[ATTACH=full]136801[/ATTACH]

Tukafunga Yamaha R6…
[ATTACH=full]136802[/ATTACH]

Tukafanyia Kawasaki kadhaa makeover…
[ATTACH=full]136808[/ATTACH]

[ATTACH=full]136809[/ATTACH]
[ATTACH=full]136803[/ATTACH]
[ATTACH=full]136804[/ATTACH]
[ATTACH=full]136807[/ATTACH]

Lakini here is where we draw the line…
What is a Keweseki?
Jachina awache machieso…

[ATTACH=full]136805[/ATTACH]
[ATTACH=full]136806[/ATTACH]
Hii tulikataa…

wacha mchinku anukishe onion rings

Hio Keweseki ya mwalim @Elgin :smiley:

Jatelo wewe ni artist wa ukweli… Big up!

I like your clamour for perfection @introvert

@introvert waah kaka kesho sparta nakutafuta good work u doing

A little birdie told me you want a bike.

yeah tutabonga vizuri

si unajuwa sparta ni aderaline junkie

need for speed

Adrenaline on the house.
:D:D

Mchinku anukishe onions na harufu yake exotic. Si kudandia koti za watu wengine…

Hapo natambua hiyo bmw kwanza gs1200, moto wa kuotea miles.

Jajuok umepotea saidi. The 800 ni fiti sana pia.

Nice. Pia huo camera wako ako clear sana. I like the colours esp hiyo ya shepart

[ATTACH=full]136812[/ATTACH]
Morning gashui umepotea hizi streets sana

[ATTACH=full]136813[/ATTACH]
Wee makanika hii sinikupatie dadangu mdogo tufunge biashara?

nipo tu afande.

nice hii kitu nataka saana

Hehehe. Sema tu that bike ni ile kitu moja haijahariwa kwa life yako :D:D

:D:D:D:D I thought these Chinese people will stop after all the fake phones and TVs ,then they started with rice and eggs, sasa mpaka bikes? I can see them making a msedes Benz now.

Figsd.
ION mr @introvert sir, can I use the pic with those gold painted rims and the sheppart in background as my avatar. Awsome pic there.

Crayon bandit, u cannot refuse a patient who’s on the operating table surgery! that’s unethical, where is the union of nduthi witchdoctors offices located?