Kayole nyama villa

Nilikuanga naskia 2 story za nyama villa sikuwai amini kuna lanye wengi one day nilikua kayole apo kwa dc kulikua kumenyesha kitu 7 to 7:30 apo na stima kwa zimelost soo nikingoja mat juu zilikua azikam nikasikia watu wakisema zinageukia shujaa mall mimi huyo mguu between hapo nikaona warembo nikadhani wanangoja gari kukaribia ile mkaribisho nilikaribishwa na all type of ladies walikua uncounterble kumbe kukiwa na giza wacha 2

You must be in a caste lower than the peasants.

:D:D
[ATTACH=full]247441[/ATTACH]
[ATTACH=full]247442[/ATTACH]

Sweeps mbio mbio kama gari za veve. Ngoja atleast comment tano hivi:D:D:D

Inakaa uliachia shule standard two.

Ulipatana na mwenzako @MikeOck akishuka Forward Travellers?

So ulitembea kwa giza alafu. Maliza hekaya bratheā€¦

How did you find your way to Ktalk , through Kangundo road ?

@MikeOck wacha upuzi bana

Ukitoka ushago ufike nairobi (first time) unaonaga kila mwanamke ni lanye - macho yatazoea kijana!!

:D:D

part two andikia shosho yako

http://i.magaimg.net/img/1f54.jpg
https://steamuserimages-a.akamaihd.net/ugc/80341092521705512/569AC78BE2E5A02BAE0079CD1AC6F4A037863A6B/
https://i.kym-cdn.com/photos/images/newsfeed/001/215/581/95f.png