Kazi inayochekesha kuliko zote duniani (usiache kupitia uzi huu)

Unaamka aaubuhi, unamuaga mke wako na watoto kuwa unaenda kazini, unabeba RULA ya sm 30 (ile ya sh 300) halafu unaanza kutembea mjini ukihisi kuna harufu ya samaki unaifuata mpaka jikoni kwa mpishi, unamwonesha kitambulisho unaanza kuwapima samaki na rula halafu ukikuta wengine wadogo unampiga faini mpishi halafu unamwambia akuoneshe alipo nunua.
Swali: Mke/Watoto wakiulizwa baba yenu anafanya kazi gani watajibu nini?[ATTACH=full]177897[/ATTACH]
USISHANGAE UKIAMBIWA JAMAA NI PHD HOLDER.

ni mlinzi wa samaki wachanga

Kukagua viwamgo vya vyakula

hahahaaa

Mpima samaki

Hapo anamkopo benki na anaulipa, ana gari , kuna ndugu wanatoka kijijini wanasema tunaenda mjini kwa mjomba. Church pia wanamtegemea sana kwenye mambo ya Harambee!!. Pia wakimpigia simu anasema “nipigie baadaye nipo bize”. Pia huwa anasafiri kikazi.

Anapendelea kuitwa Afisa MS.

MS ikiwa na maana gani?

Mpima Samaki!!:D:D

Hahah! Hatari sana

Hapo ujue kuna jambo linataka kupindishwa…

Cc: @Mahondaw

Sote tumezaliwa wajinga… Hivyo tunahitaji bidii kidogo ili kupata/kuwa na maarifa, au bidii kubwa sana ili kuendelea kubaki wapumbavu…
Lakini jambo la kustaajabisha ni pale unapokuta baadhi ya viongozi waTanzania hasa awamu hii huchagua njia ya pili…

Naona anataka kuwashonea nguo

[COLOR=rgb(184, 49, 47)]MS Officer (Afisa Mpima Samaki)

Hahaha

Jamani mbona mnaninanga hivyo, nalinda urithi wa Kesho.

ha ha ha

upimaji na ramani…duh kuna jamaa ameshijka diary yuko bize sana sijui aliandika nini hapo au alichora?

hivi hamna samaki wenye ugonjwa wa kukua?

Ha ha haaa…