KCB ATMs

#5
Niko na pepea card. It has served me well on online purchases. KCB mobi wanashinda wakinitumia sms but i would still require ATM ya kutoa pesa....
Nilienda ku-apply pepea card hapo kencom alafu receptionist ghaseer inaniambia nipange laini ni kama chakula cha msaada nimekuja kuomba. Laini refu kama ya huduma namba. Nilisema tu meffi na nikatoka. Sikuizi mi hutumia Visa Paywave ya ekwete for online purchases. Natuma from mpesa to bank account alafu nafanya online transaction, all in under 5 minutes. Hata KCB Mtaani huwa sio mingi vile, na huwa zinakosa float. Tucker tucker tu.
 

Ghaseer

Village Elder
#12
Never gone wrong with stanbic, co-op and postbank channel ya Bank to Mpesa, Mpesa to Bank.

Caveat: No control in spending, ussd is on speed dial.

Never had an account in KCB but i like them coz wao huokolea na Visa wakati ATM zingine zimekwama...
Equity nliisahau kama matiti the day nliambiwa nipange line ndio nichange signature juu haikua accepted
 

Top