KCB ATMs

Kwani shida iko wapi na hii bank? Nimeenda branches mbili na hakuna ile iko na ATM inafanya. NKT! Nitahama hii bank meffi!

kuja I&M

Chukua pepea card na sign up for KCB mobi usahau maneno ya ATM

Naona unafanyia employer marketing

Niko na pepea card. It has served me well on online purchases. KCB mobi wanashinda wakinitumia sms but i would still require ATM ya kutoa pesa…

Nilienda ku-apply pepea card hapo kencom alafu receptionist ghaseer inaniambia nipange laini ni kama chakula cha msaada nimekuja kuomba. Laini refu kama ya huduma namba. Nilisema tu meffi na nikatoka. Sikuizi mi hutumia Visa Paywave ya ekwete for online purchases. Natuma from mpesa to bank account alafu nafanya online transaction, all in under 5 minutes. Hata KCB Mtaani huwa sio mingi vile, na huwa zinakosa float. Tucker tucker tu.

Standard chartered iko sawa never trust local banks

ATM users ni wale wako na ka twilili

Hamia CBA kwa Gathecha Kwanza loop imeweza online transaction. KCB na Coop ni mharo mtupu.

Usihame KCB. I have shares in that bank.

Kcb ni meffi. Kwanza Fridays waeza lala njaa ukitegemea mobi bank. Una pesa but you cant access.

I had to fufua my stan chart account despite them being slightly expensive. Wako reliable.

Kcb ni meffi na sio mara ya kwanza i have complained

Never gone wrong with stanbic, co-op and postbank channel ya Bank to Mpesa, Mpesa to Bank.

Caveat: No control in spending, ussd is on speed dial.

Never had an account in KCB but i like them coz wao huokolea na Visa wakati ATM zingine zimekwama…
Equity nliisahau kama matiti the day nliambiwa nipange line ndio nichange signature juu haikua accepted

meanwhile NBK is still dispensing “old” notes. aarghh

Ata coop bank…meffi ya watu. U wonder wanataka nani azipeleke cbk

a good number of the technical team wako in an EAC country for some months so def wataumia kiasi. shhh