has anyone got back the results after sending the sms.
I sent mine over an hour ago and nothing has been sent back.
results zako ama
How did a std 8 become an Elder?..surely we will revisit.
haha… nyang’au hii mimi apana mayai za @Deorro
Tuma index no Kwa mtu ako nayo
fe*k suffericom ni kukula tu credo na hakuna reply… #resist
Tulisema resist safaricom hamsikii
Hapa Niko na Baba #resist safcom . All that money it is accumulating and no results.
Results coming in nicely
:D:D:D:D
unacheka nini mkamba… umechota mayi kwanza?
unatumia suffericom?
where is the humour?
Over 2000 pupils got less than 100…kwani zile choices huwa kwa kcpe zilitolewa?
jana nilipewa 5 betting tips. I chose one of them and out of all those hiyo ndo tu tip haikuingia…
Wiki, wacha hizo. Ever seen two married Profs and their kids get very low marks?
Zilitolewa. Lakini siku hizi wana mark jina, index number na date that’s where the hundred cum from
Naskia watoto wamepita, Congratulations.
Thanks to matiang’I watoto wamepita atleast the results are genuine. .