Kcpe results.

mache

Village Elder
#1
Singo matha akikutumia kcpe results za mtoi wake anataka mcelebrate akikupa slices ama anatakaje? For me I just said congrats.
 

threetatu

Village Elder
#11
Kama mtoi amepita say congrats na indirectly anza kupanga vile utafanya shopping ya huyo mtoi...kama mtoi ameanguka anza kutumia connections zako kumtafutia shule na pia budget ya shopping...either way, its all about the kid...
 

Top