Kcpe results.

Singo matha akikutumia kcpe results za mtoi wake anataka mcelebrate akikupa slices ama anatakaje? For me I just said congrats.

wacha kujaza server maswali za umafi . umbwa .

Buda, sasa ningedo?

ungechukua slices na uende base ya ketepa si kusumbua elders

hahaha uwes girlfriend wako wa ktalk Georgina Makena alienda wapi?

ako tu anamaliza PhD kwanza

Ni school fees anataka. Anza kubudget.

Good. You were not the only one she sent her results to. Hawezi tomba kila mwanume kwa sababu mtoi amepita. :D:p

Vile huyu cuzo wa @Eng’iti amesema. Utakamua halafu some day later uombwe “favour”

Na suspect kitu kama hiyo. Nitakamua nikijifanya mzuri alafu January ikikaribia nihepe.

Kama mtoi amepita say congrats na indirectly anza kupanga vile utafanya shopping ya huyo mtoi…kama mtoi ameanguka anza kutumia connections zako kumtafutia shule na pia budget ya shopping…either way, its all about the kid…