KCR tupeleke wapi

#1
So am just thinking
Sasa juu wengine wetu ni double agents, handles ka nane zingine za kupima watu wazimu, zingine za kujipea morale, si KCR ukisambaza unaeza unda audit trail ?

Na nikinunua nazo kredo, number haitaitauziwa jade entertainment ashinde akituma ads za latest movies at 50 Bob? Alafu mmecheki venye mapadlocks amepandilia wasee wa jamii forums kule bongolalaland.

Zingekua zinaeza enda PayPal afadhali. Acha nitafute terms of use kwanza.
 
#2

Ktalk is an anonymous forum but they want you to out yaself while using the KCr...
 
Top