since you brought the subject
hivi nani wanapeana hizo contracts za software and hardware huko kwa Jeshi?
apparently its every tenderpreneur's dream kupata hizo contracts. Hazitangazwi na hakuna oversight. Once you're in hakuna kutoka utakula wewe na possibly 4 generations huko mbele