kenya 7s yakamua ufaransa na welisi (wales)

timu ya raga ya wachezaji saba kila upande yazikamua timu za ufarana kamu kamu bila lube bila huruma #Kenya7s 17-14 France.
#Kenya7s 26-12 Wales. FT

kiswahili kibovu mno

unafaa kusema kuswahili fedheha saidi

@123tokambio leta ile handle yako ya TZ @T255

:D:D:D:D kiswahili kibovu hichi

YANA FEDHEHESHA SI HABA

Fiksiidi

Hehehe… Hata ile timu yetu ya Danganyika Sevens kali sana kuliko hio ya Kenya. Saa Hii wanatumia CANNON SUPADIP LENS kutreni katika matayarisho ya Morogoro Sevens…:D:D
Chinga kapsa @uwesmake aka @Mtanzania Magufuli