Kenya F**king power

Join Chatpanda, Fastest growing social media website in Kenya! Get verified easily, grow your following, and meet like-minded Kenyans

Touchlyrics

Village Sponsor
#12
Kplc wameimprove sana sikuhizi. Kuna time i lodged a complain on their customer care number, hawakukuja the same day. Nikiwa kwa giza jioni nikitoka hustle, called again and complained furiously. 5:45 am got a call. Six walikuwa kwa gate. 6:20 am problem was fixed. Sikuamini.

But customer care yao acha tu, nikama waliokota watu ghetto. So rude, ata wanaeza kutukana ukiwasukuma sana! Ni vile tu unanyenyekea juu hakuna company ingine. And they know thats why wako hivyo.
 
#14

This is the main reason why safaricom will keep minting billions, kwa customer care wako tops. Wakitaka wanaeza ongea matope but they're very professional. Wanauma, na kupuliza. If it was 100% kenyan, wangekua wanaangushia customers matusi kali.
Kenya Power unaeza pata ata hio customer care ni relatives wa managers wamejazwa sana, ukimskuma anashindwa sasa hii takataka inanishow nini? Haijui nina "job security"?
 
Touchlyrics

Village Sponsor
#15
Wakitaka wanaeza ongea matope but they're very professional. Wanauma, na kupuliza. If it was 100% kenyan, wangekua wanaangushia customers matusi kali.
Hii hawawezi jaribu ata na dawa! Why do you think customer service is very key in most private organisations. Juu ya competition! How many minutes will a frustrated take to switch to a competitor? Very fast! One of the key pillars in any serious organisation is customer service and to retain customers. Its cheaper to retain a customer than to get a new one. And as usual, good customer service will never be shouted, but bad service will spread fast.

KPLC wanajaribu though. Company iko na ujinga yake yote ni Nairobi Water. Hao bado wako stoneage ile serious!
 
Top