Kenya is a Shithole Failed State

Your president can suspend parliament and judiciary at will.

We’re headed there at a leisurely pace, lakini hatujafika hio land inaitwa failed state…

watoto wako wanasoma public school? mara ya mwisho lini kuenda public hospital? ile mahali unaishi maji ni ile ya municipal council ama mmejipanga na borehole yenu? Unatumia means gani kusafiri kila siku? kwa gate yenu kuna watu wa private security firm? Na sasa ni service gani io serikali yenu inawapea?

Wanna move to Somalia

Even developed countries have a hybrid sort of situation. Public and private coexist.

Failed state, not yet, shithole, no fooking doubt

These are basic services that the government is supposed to provide in well run countries.

Hybrid ni kusema nini sasa?

Imelewa

Tumesema mara nyingi Kenya ni neocolonialist protectorate. Wewe kama squatter peleka complaints zako pale Royal palace.

If you dont understand then clearly it was not meant for you.

This is all because of the parasitic owners blah blah, but things will be rectified once we elect Arap Kimwarer am sure.

Watoto wa Arror wamesomea public schools kama watoto wetu. Wakapata D+ kama watoto wetu. Hakununulia wao grades kama wa ao opponents wake. He has walked our path and knows our story.

Walipata D+ kama watoto wetu, yet theirs are envoys while they give ours wheelbarrows. By the way I find some of your arguments very…wacha tu.