Kenya migrates to Florida.

[ATTACH=full]207402[/ATTACH]

Hii Florida imekuwa Kenyan kamili. This lady must be a Kenyan. It appears labda Kenyan immigrants wame-export tabia za Kenyan IEBC huko Florida?

Republican candidate anaenda kulala kama ameongoza na kura 400K.

Kesho yake kuamka, kura zinaanza kuchipuka miraculously. Hapa kunatokea kura elfu kumi, elfu arobaini pale, elfu sitini huko, etc. All these miraculous votes appear to favour only one candidate; Democratic. Wizi.

Hazijulikani zimetoka wapi, na zilikuwa wapi 48 hours baada ya vituo vya kura kufungwa. Nasikia pia huko, watu waliosajiliwa wakati wa Harry Truman bado wako hai na wanapiga kura kwa wingi. Hawajawahi kutolewa kwa voters register.

Heheheeee

Hivi ndio obako alichunisha baba sukuma…akajua hajui!

Free and fair elections remains to be a pipedream, world wide.

Americans have been taking notes during their election observer missions in Africa.
They are now putting those lessons to good use.

Kimeibiwo, naona pia pale Georgia, Chebukati wa hio election is leading in the governor race but kama Kawaida Raila wa pale amesema “nyet”

Hehe mambo ni kujipanga my fren!

hehe, Trump is already talking about. But seriously hii ni wizi wanafanya laif laif
[MEDIA=twitter]1060924708101644288[/MEDIA]

:smiley: Wamebakisha handcheque.

:DUraruta andu a kuu mitugo miuru nikii wee?

Wakiiba tunaiba!

Wakiapisha tunaapisha

https://en.m.wikipedia.org/wiki/2000_United_States_presidential_election_recount_in_Florida

not new. Al Gore ndio anajua Florida fuck job ni nini.

:DInaonekana wamekuwa fast learners

Waki handcheque?..tuna Tanga Tanga!

Canaan lazima watu wafike. Pende, msipende. :D:D:D

Canaan iko hapa Thindigua bana

Jeb Bush alirig in brathamen wake roho safi.