Kenya police guess work

#3
If you honestly believe lazima pawe na witnesses waliona live-live [halafu wakakimbia kuripoti polisi] ndio polisi wa conclude kulikuwa na watu tano au sita, just stick to ...whatever it is that you do.
 

sani

Village Sponsor
#4
Wacheni kuwekelea kijana. Family ikiuliwa yote lazima mwenye atasurvive atoroke. Kijana alikua anahepa aokoe maisha yake
 

Top