Kenya Talent search judges

#1
have watch this shows America got talent and X factors...TPF and many talent search show...

when a performer showcase upuzi,they are send off na heshima na kuambiwa go work on ur craft then come back...


sasa jana nawatch Africa magic kuna show ya churchill ultimate comic.... searching for the best comic in kenya....the show was in nakuru...judges were tony from redkyulaz show a lady na jamaa mwingine apo...


what l saw ....the auditions comic walikuwa down l must admit lakini the way Tony was sending them off..waaah ata hakuna ku sugar coat....u have zero talend enda .... wanaume grown up walikuwa wanalia kama watoto...

it was so sad....sasa churchill noticed this and came to the judges and asked tony to change his approach towards the contensants . .

na yeye tony akasema hawa watu wanafaa kuambiwa ukweli....apo ndio churchill ali snap na hasira ...good job churchill for showing that side of you . .

bana kenyan judges wawachee upuzi kwanza uyo Tony

nikipataa link ya u tube nitaweka
 

Okwonkwo

Village Chief
#8
hakuna kubembeleza watu.

mimi nikifanya shoddy work mdosi huniambia live this is shit.

And I get the cue and rectify. Na next time I will be careful not to turn in shitty work.

kama mtu hawezani aambiwe ukweli - buda, hapa uko ndogo.

hii being nice ndio inabread mediocre journalists, comedians, entertainers, workers etc.

we should call out mediocrity for what it is.
 

Etigere

Village Elder
#11
Mimi nishowcase talent yangu alafu ulete hio ujinga ni ngumi au slap moto.. I'll be happy to pay a fine or go to jail but huyo judge ataheshimu watu
 

Top