Kenya Talk App on playstore

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.tapatalk.kenyatalkcom

For android users, supports push notifications so you can get notified immediately when events such as new comments, threads or inbox messages.

Hapo Kwa ads ndio hatuko pamoja ,unapenda kitunguu sana, kanyal clicking.

@Mathicwo ndie face of ktalk kwa mbisha za playstore. Nunulia yeye pilsner moja muoto pale Kagomano bar and rest

Kuna Mtu hapendi onion?

imekuchukua miaka tano na bado tunateta wana wa israeli walikaa kwa njia zaidi

ungeweka screenshot moja ya GMO chronicles, na moja ya late nyt pole

:(:(:):slight_smile:
Nilipwo.

Kapsa. Angejiweka mwenyewe zile za monoversation zake

Otherwise, meffi app, uninstalled…

This will help the multihandolas… Original handle kwa app then pseudos kwa browsers…asandesana on behalf of Bingwa sCLITum and wakanyamas

CEASEFIRE
[ATTACH=full]184143[/ATTACH]
wazi admin

I thought ni kitu ya maana

Wee nanii, hakuna ‘all threads’ Kwa hiyo kitu yako

:meffi::meffi: Meffi app kabisa ata threads hazijajipanga, vitu ziko scattered all over the place na notifications pia ziko messed up…sticking with the good ol’ browser

Admean lamba lolo

Uwesclick!!

Hakuna Emojis bana

Admin anafungua app na browser yangu analogue haionyeshi kila kitu ya ktalk

My phone not compatible with that :meffi: .and before i forget ,Admin, kindly give us a middle finger emoji. it would have worked better here.:smiley:

Admin Deorro, I can get you a techie from iHub or emobilis. You can do better

supports android versions from? @Deorro ?

Recommend for an older version ; all android platforms from froyo, gingerbread, Icecream sandwich , jellybean et al( 2.3.6 to 4.0)