Kenyagen.com

Status
Not open for further replies.

Mkufuu

Village Elder
#3
Wataka tusaidie vipi mkuu?.....Sisi hatuna nambari za simu zao wala barua pepe... hatuwezi wasihi warejee gumzo.
 
#5
Kijiji hakijengwi kwa siku moja. Kijiji hakijengwi na mtu mmoja. Watu walisign up kisha ndivyo baas. Ila tunawapa tu mda, wakiwa na cha kuposti inshallah wataposti. Hataa hivo kazi bado inaendelea
 
Status
Not open for further replies.

Top