Iko rafiki yangu alienda kule Ujerumani miaka mingi imepita. Kurudi Kenya akaenda pale UoN akauliza kazi ya mwalimu dept of mech engineering.
Alimwambia dean ako na degrees mbili za uhandisi, ya kwanza ikiwa 1st class, na ya pili thesis yake ndio ilikuwa nambari 1 class mzima. Aliongeza eti makaratasi yake iko jiani yaja na posta. Akaulizwa maswali kadhaa ya uhandisi, lakini akamwambia ampe wakati kwanza atafsiri thesis yake moto sana kutoka kijerumani ndio wakiongea dean awe amesoma hio thesis kwa kingereza.
The guy got the job on the spot. He immediately asked for a few weeks atafsiri hiyo thesis into English. Miezi mbili ikapita, bado hajarudi kazini, lakini mshahara anapata.
So the dean called and told him if he does not report to work within 1 month, atafutwa kazi. By that time wanafunzi 1st year wa mech walikuwa wanafunzwa na tutorial fellow.
Anyway before the month was up, jamaa akauliza kazi kwa kebs. Sasa a whole lecturer wa engineering, kuuliza kazi huko, si anapewa immediately kama naibu wa MD bila kuitishwa makaratasi, juu wakati huo watu hawakuwa wamesoma sana Kenya. The rest, as they say, is history.
Ndio sasa huyu rafiki yangu hakuna mwanafunzi hata mmoja amefundisha UoN, wala picha akiwa lecturer. Hakuna lecturer kwa hiyo dept ya mech washafunza nayeye. Na hakuna mtu ashawai ona certificate zake wala kuona picha yake akiwa chuo kikuu huko ulaya. Kila wakati akiulizwa, anasema: ‘wewe utaweza kusoma kijerumani kweli?’