Kenyan’s Are Very Trusting

Iko rafiki yangu alienda kule Ujerumani miaka mingi imepita. Kurudi Kenya akaenda pale UoN akauliza kazi ya mwalimu dept of mech engineering.
Alimwambia dean ako na degrees mbili za uhandisi, ya kwanza ikiwa 1st class, na ya pili thesis yake ndio ilikuwa nambari 1 class mzima. Aliongeza eti makaratasi yake iko jiani yaja na posta. Akaulizwa maswali kadhaa ya uhandisi, lakini akamwambia ampe wakati kwanza atafsiri thesis yake moto sana kutoka kijerumani ndio wakiongea dean awe amesoma hio thesis kwa kingereza.

The guy got the job on the spot. He immediately asked for a few weeks atafsiri hiyo thesis into English. Miezi mbili ikapita, bado hajarudi kazini, lakini mshahara anapata.

So the dean called and told him if he does not report to work within 1 month, atafutwa kazi. By that time wanafunzi 1st year wa mech walikuwa wanafunzwa na tutorial fellow.

Anyway before the month was up, jamaa akauliza kazi kwa kebs. Sasa a whole lecturer wa engineering, kuuliza kazi huko, si anapewa immediately kama naibu wa MD bila kuitishwa makaratasi, juu wakati huo watu hawakuwa wamesoma sana Kenya. The rest, as they say, is history.

Ndio sasa huyu rafiki yangu hakuna mwanafunzi hata mmoja amefundisha UoN, wala picha akiwa lecturer. Hakuna lecturer kwa hiyo dept ya mech washafunza nayeye. Na hakuna mtu ashawai ona certificate zake wala kuona picha yake akiwa chuo kikuu huko ulaya. Kila wakati akiulizwa, anasema: ‘wewe utaweza kusoma kijerumani kweli?’

Really?

Kama huyo ndie rafiki yako, haikosi pia una kaujinga mahali, lakini hukaoni, unawaona wengine wajinga…brarry…

UOTP

Uliza ‘enginia’ kitendawili!

Hekaya hiyo.

RWNEBP

Sasa wewe in Dean au enginua au Rafikiye?

http://www.nation.co.ke/news/ugandan-who-allegedly-faked-his-way-to-top-jobs-arrested/1056-3972550-2k50otz/index.html
Hiyo story inanikumbusha huyu jamaa.

Wueh. Kijerumani hakitafsiliki kwani?
:D:D:D:D

Na huo dio @Ukweli Tupu, a thug from day one

Haikosi ni UOTP na alikuwa shule ya Jakuon hata labda anatumia script take RWNBP

Noma

This story reminds me of Jubilee IEBC tactics… Ati “well Europe is several hours back watu wamelala huko… we can’t have the server access for a read only version, it is classified.” lol…o_O:D:D

Hii udaku uliskia ukiwa salon IPI,?

Someone is coming for you.
Your mother is not sacred to him and neither is your ass!
You don’t need to think too hard. Just check whether what he’s taking is cold and is accompanied by a pseudo roar…

I always avoid mambo ya ukabila, kwa sababu mimi ninaelewa watu wengi hawana shinda na raia ama majirani, shinda ni viongozi kutoka pande zote mbili.
Lakini nashindwa, kama Kisii/Nyamira Uhuru na Rao walipata 50% kila mtu, ni kwa nini waKisii kwa hii kijiji wote ni wa uotp?

Jibu: Watu kutoka Kisii/Nyamira wanapigia Jubilee kura kwa sababu ya maendeleo wamejionea, kwa mfano:

  • Stima: Kama mtu ako na biashara ndogo kama kinyozi, fundi wa redio, hairdresser n.k. anafurahia stima kufika vijijini. Mtu hana biashara yeyote na amekataa kununulia familia yake hata TV, hataki hii mambo ya stima mashinani.
    -Maji: Maji ikeletwa kwa kijiji ni maendeleao wananchi wanajionea. Lakini walio hapa hii kiji kutoka huko hawaogi. So they can’t appreciate that development.

Jubilee needs to study local needs and appeal directly to the voters because the majority of Abagusii are development minded and their needs and Jubilee manifesto truly rhyme.

Hehehe
Ndio maana tunasema rwnbp.

Salon inaitwa SCoK. Najuwa hauitambui. Ka kalie mawe kama kawaida na mugoka yako.

Ati hii ni @Ukweli Tupu ?