Kenyan tourism

uhondo

Village Elder
#10
Sio ata tourists, sisi wenyewe have to go through the crazy gauntlet on a daily basis just to get from point a to b. Eti mahali kama community hadi gpo, mtu anatumia 30-45 minutes. Na by the time unashuka kbs au citi hoppa simu imeibiwa. Sio choo ukiwa na ka 'emergency' haziendeki. Yaani even basic things we can't get right. Na city hall imejaa mca's, county executive, governor na deputy wake wameketi wakikula mshahara.

Ya nini!
 

Top