Kenyan Vitambi menace

Abdominal obesity is typically associated with a statistically higher risk of heart disease, hypertension, insulin resistance, and type 2 diabetes (see below). With an increase in the waist to hip ratio and overall waist circumference the risk of death increases as well
[ATTACH=full]488801[/ATTACH]

there is nothing ‘mkubwa’ or ‘rich’ about this… nyamachoma na Guinness with friends every other day is not networking

99% of men above 45 years wako ivyo…and they’ll live way past 70. I for one niko na kitambi and i don’t want to live beyond 70 years

vaa helmet wanakuja…it is also linked to a shrinking brain

45? ama 25… ushaienda two rivers?

Hapo awali nilikuwa na kitambi, nilijitetea eti mungu angependa tusiwe na vitambi ange extend ribcage hadi chini, lakini sasa ivi najua mengi. nimekata kilo 10 2022, na nakusudia kupunguza zengine 10 kabla ya mwisho wa mwaka.

One of the known factors that contribute to central obesity (potbelly) is low testoterone level and at that level, sexual performance/ libido is low as well.

Stomach fat is very stubborn, you seriously have to cut your carbohydrates in a very significant amount and exercise.

Hio ni kali

Hii kitu ni discipline ! punguza intake esp starch and take more protein eg asubuhi substitute bread for groundnuts! wacha kukula kama mtu wa mjengo and the whole day you are infront of a comp ! the 1st week will be abit tough but after that your body will get used those cravings will disappear !

High carbohydrates intake ndio inaleta kitambi ,Mimi hukula 50% white meat,30% green vegetables and fresh fruits and 20 % high fibre carbohydrates ,major glass 8 Kila siku and nothing more than 10% alcohol,mazoezi daily is a MUST .

Kuwa na kitambi Kenya is a matter of status.

Nasikia pharmacy anapenda kuchunisha omwami Ako na kitambi sukuma because Ako na mattercore sponge

National crisis in Kenya…mmenionea Atwoli wa mine? this year…

mkale punguza mafuta si kilo ghassia

Kitambi ni mass. Maintain it na beer baridi na nyama. Hata saa hii naona soccer, tumbukiza inakuja.
Maisha ni fupi jameni.

two rivers is a mall for people doing well in life
young high income earners
and the usual high-earning middle age men that have slowly climbed the corporate ladder or biz imekubali

Pombe na nyama choma

Ni minyoo na constipation

Nikiwa mtoi mtaa nilikuwa naitwa “…tumbo” kitambi si issue kutoka nikuwe mdogo nimekuwa na kitambi…nilikuwa nacheza futa table tennis na mpaka wa leo kila siku lazima nipige run… haijawai pungua ama kuisha na wife hajawai complian sijamfikisha na kupitisha threshhold:D

Sponsor lazima ajulikane. Sponsor hawezi kaa kama kijana barobaro