KENYANS HAS BECOME NUCLEAR REACTOR.

Hahaha after shutdown of KIM’S Nuclear reactor at PYONGYANG Now the Kenyans swallows heavy metals like Lead and Hg so what remains is only Uranium. Sasa mabomu ya atomiki yataanza kutokea Kenya hapo.

Heko Kenya kwa maendeleo makubwa mtuambie tu lini tunaanza kujaribu hayo mabomu ya atomic direct from Nyayo au Kasarani.

[ATTACH=full]178051[/ATTACH]

And now nuclear have seem to reacted on your grammar.

Nuclear have reacted on your point

Brathe kwani zimekulipukia na hutuambii tukushikie maziwa!?

Tutaweza kumaintain nuclear reactor na maji ya Ndakaini?

Ng’ombe mkuu @gwasi pereka upuss JF section.

Message sent

Wewe tulia hapo sindano iingie.

saitan

Nugu ya Magufuli tu…

Kweli maana Magufuli naye ana akili za mizuka Bila shaka amechunga ng’ombe muda mrefu ndo maana Uongozi umemshinda

Jiwe ni kiongozi anaeweza kuwa bora Afrika, mradi tu apunguze udikteta. Hilo tu ndilo linalomharibia. Kazi aliyoifanya pale mwanzoni kupunguza magendo na ulaji rushwa ilikuwa bora Zaidi… Lakini kadri anavyozidi kuvuka mipaka ndivyo sifa inavyozidi kumomonyoka…

Kaua sana Watz wenzetu tuna hasira naye sana. Yeye ndo amekuwa kila kitu hazingatii Katiba katika uongozi wake

we has become very developed country