Kondakta nipe tikiti!
Niende kericho!
Nikaone mutoto!
Mutotoo ananingoja!
Stand ya bus,Fanya haraka!..ahsanteni ndugu zetu kwa kutupa makao
I don’t understand. Unatry kusema Nini Ni simezeshi buda
Mimi naona ingeanzishwa na kamusi humu ndani,lugha gongana sana
Hii ni nyimbo nadhani iliimbwa na daud kabaka.enzi hizo.old is gold
Sasa hii ni copy not original
Niceee
Tupo uhamishoni kwa mkopo! Ya ugenini tutayazoea tu