Nimeamua siendi kimilili kesho napeleka mama clichy huku ATLEAST bibi afurahie pia. Kesho hakuna cha gilbeys nameza tu Jameson na kuku nikimingle VIP na wazito na keeping mafisi away from my mini momo wife.