KESHO Mimi na madam

Nimeamua siendi kimilili kesho napeleka mama clichy huku ATLEAST bibi afurahie pia. Kesho hakuna cha gilbeys nameza tu Jameson na kuku nikimingle VIP na wazito na keeping mafisi away from my mini momo wife.

[ATTACH=full]23877[/ATTACH]

hahaha kucha anko…kucha…:D:D:D:D:D

Kucha zako tumesha-ziwahi fingerprint,weka evidence ya kucha tuamini

:D:D:D:D:D siweki

clichy ni swag ya kusema crissy yaani christmas? swali tu

1 Like

your daughters name is clichy ama ni nickname?

Boss ni boy kwani ulianza kuona epl after Chelsea ianze kushinda ligi. Clichy was arsenals best left back.

hehehe…
no.
started in 99.
lets browse my memory nipne kama nitamkumbuka

1 Like

11,000 kuona thenge

1 Like