KEYA: Kenya Early Years Assesment. Grade 3 National Exam is here

Meria Mata

Elder Statesman
#6
public ndio kuzuri. Huko kuna hadi tusichana tunafanya class 7 na wako 18...

Naskia kuna hadi tu single mother wanakuja lessons jioni.

Group of schools nani ako na hio shilingi? School fees huko huandikwa in dollars hata sio kshs.
kwa hivo wewe unarudi shule kukamua tu, hehe
lakini hii sirkal iko na jokes, is there another country in the world where 8yr olds are subjected to such?
 

Top