Kibao was good circa 2007_2012 then ilikuwa na flavor ya coconut kwa umbali.. Siku hizi hio drink ni kemikali. Unachukua sip..mwili inatoa ile rash ya kusikia baridi..unakunja sura nikama umetaste dawa.
Kiyana Mimi ni veteran.. nilikunywa Safari Cane ikiwa na diff flavours from cane, gin, rum and Vodka, nimekunywa poolers 1 bottle = 3 beers.. Nimekunywa black and white gin ikiwa kwa satchel.. Naweza kupa lecture on alcoholic drinks. Nilizianza hii maneno zamani wakati nazizi, bamziggy na Wyre walikuwa wanasifu mini packs za suffcane. Respect the vets.