Kibarani Outbound

[ATTACH=full]84762[/ATTACH]
Jamaa kapiga U-turn pale na huku mwenzake akielekea changamwe anakuja akiwa 140, ni bahati hakuna mtu amekufa

2 Likes

The hell was he thinking?

G-sas good thing haikua euro truck…

1 Like

Hio ni illegal turn alikua anajaribu?

Hiyo haikai impact ya 140kph. Sema tu alikuwa anaenda kwa muendo wa kasi.

1 Like