Kibera!

From woodley forwarding position… I hear loud sounds of either shots or ganister’s. Updates incoming

1 Like

All will be well in due course… …that was expected !

2 Likes

Wacha wakule ujeuri yao

1 Like

I expected that. Why do politicians make the 'other people ’ believe that it’s a matter of life and death?
Come on men, it’s never that serious!

6 Likes

That the sound of fireworks as kibra residents celebrate, watatulia by morning

5 Likes

@Gaza yaani gila gitu lasma giwe na G? Ganister ni nini mseiya?

11 Likes

Sirens incoming… Well! Heavy GSU presence. Joseph Kangethe rd outta kibra, Kibra rd leading to jamu, kabarnet rd outta kibra all locked. Sijuu hiyo side ingine …lakini sisi tuko poa

2 Likes

mbisha ziko wapi

Hapa Gacharage Kiambu celebration watu wamejaa kwa Barabara, darama, karing’aring’a, vuvuzela, car horns. kuna club imelipwa stock yote ya 500k watuwaserereke.

7 Likes

Ni vile inakuwanga msoo … Bila “G” hakuna gaza nation. Huwe “OG” young “G” yote ni “G”.

4 Likes

I can hear police choppers over Kibra. Kesho huko sijui kama kutakalika…

3 Likes

Namanga rd blocked by jubilators!!; Muthamaki has been crowned.

Kisumu the same, kondele mawe kubwa kubwa kwa bara bara, helicopter everywhere. One must be a low life idler in order to go out and sacrifice his life for the sake of raila hahah

27 Likes

Mbisha nipate G3 7.6 mm caliber kwa kichwa. Boss tuheshimiane

7 Likes

[ATTACH=full]119036[/ATTACH]
Wewe na hawa watu wa al jazeera hamuna tofauti

6 Likes

:D:D:D:D:D

Wasn’ that from yesterday?

Huh…

Hapa 44 tumeigia kwa some pub, so many guys on the road celebrating.

:D:D:D:D Hapa ata ukiwa na jacket imeandikwa Press unaweza simamisha risasi ikiwa kwa hewa.

1 Like