[ATTACH=full]242148[/ATTACH]
tupatiwe menu
Tomatoes missing
Hakuna waru?
and that is why you don’t marry from cendro…
Na cabbages? Na avocado?
Iko kwa foundation na pawpaw
Iko kwa plate ingine
Kiaganu yeye huwa ana mix zoote pamoja
Mbona huyo jamaa ameonyesha matumbo madharau kiasi hiki ?
Hii unaikuta na sembeste
weka machakula hapa
Thubu ni kidogo sana. Those vegetables are supposed to be drown in soup…drowning!
Hii ni zile hubaki inakuwa mixed na kupewa chokosh.
If you eat that food, @Mshutaji Hodari will have nothing on you.
Hata carrots hakuna
Umewai kula unripe pawpaws in stew, very good if done well
Waaa hii ndio jeshi ya thurakus ina kula !!
hii kitu ni tamu…kwanza uongeze kafirifiri…shida tu ni inakuja so many stomach complications ie. amoeba