Kijiji cha ang'o

upepo

Village Elder
#9
Navy Seal alidhani youthful hairstyle itabaki milele.
Akaamka siku moja akapata nywele imerecede na two inches.
Saa hii anaquestion hadi lineage yake.
Denial.
Hata wewe unaweza kasirika kidogo.
Ata wewe huwezi furahi ukiwekelewa bonnet kwa kichwa mpaka watu wanakubatiza X6.
 
Top