Kijiji ya wazee

Enyewe huko ni kwa wazae na wasee polygamous.Ndio nashindwa brown boy anafanya nini ktalk.Si ajiunge na wazae wenzake na huko.
Mimi nilikuwa napitia huko tu kuona mwalimu Gashwin anastress points gani.

[ATTACH=full]294319[/ATTACH]

Sema @bubudiu ,korona imekufikisha wapi? Joo hapa kenol tuteremshe muratina. :smiley:

Si unafaa kuwa kwa nyumba,sasa unajitakia kifo ya mapema kwa nini.Ukiwekelewa rungu ya mgongo na polisi na vile nyinyi ni wakonde juu ya kunywa pombe haramu ya muratina si utakufa tu.Ata kama sikupendi usikubali kufa na Corona related issue.Wacha pombe na jiggers zikumalize as it was predicted,hakuna haja ya kuchafulia Corona jina.

niaje goat and cow rapists

Which cow did I rape, your wife or your mother?
Humbwer ghaseer

:D:D

Wacha makasiriko au uende ile kijiji ingine ya wazae kama wewe.