Kikao na wastaafu ni changa la macho kwa huyu anayetapatapa?

Kama kweli alikuwa na nia njema kwanini kikao hicho hakikutangazwa hadharani wiki moja au mbili zilizopita?

Kwanini hakuwapa taarifa mapema wastaafu mada husika au kuwapa nafasi wapendekeze mada wanazoziona zina umuhimu mkubwa kwenye maslahi ya Tanzania na Watanzania!?

Machale yamenicheza baada ya huyu dikteta kugundua chuki dhidi yake zinazidi kuongezeka kila kona nchini ikiwemo Viongozi wa dini (kumbuka waraka wa TEC na KKKT) sasa anatapatapa kutafuta umaarufu asiokuwa nao. Kwa maoni yangu huyu dikteta na kikao chake bandia na wastaafu hakutakuwa na la maana lolote litakalojiri

Tutege masikio yetu tusikie kama kuna lolote lile lenye maslahi kwa Tanzania na Watanzania lililojadiliwa.

Nasubiri kikao chake na wazee wa Dar es salaam

Hamna kitu zilikuwa porojo. ila sasa ni wazi ameona kuwa hapendwi kila kona!

Kwa namna wastaafu walivyokuwa wamekaa na sura zao zilivyokuwa za huzuni, hakika hawaoni mwanga mbele!

Ngoja tumuone huyu dikteta atakavyozidi kutapatapa huku kila kitu nchini kikizidi kwenda mrama.

Wafanyabiashara nchini wengi wamefunga biashara zao au kuhamia nchi za jirani, Wafanyakazi wanafanya “go slow” kwa kunyimwa nyongeza ya mishahara kwa mwaka wa tatu mfululizo, makusanyo ya mapato TRA yanazidi kushuka hivyo kusababisha bajeti hewa ya kuambiwa zitatumika 32 trillions lakini makusanyo ya kodi ni 15 trillions tu! Mambo yanazidi kuwa mambo! Na wakati huo huo dikteta anadai anainyoosha nchi!!’ :oops::oops::oops:

Ahul al Badri itamuhusu siku hiyo

Hakuna la maana hapo,wengi waastaafu watajifanya wajinga msifia Siku ipite.Kajipa cheo zaidi ya presda,mungu mdogo asiyepaswa kosolewa na Tupo tayari kwa kisasi kwa wakosoaji wake.Bila aibu hotuba utangulizi kasema kawapa mwaliko bila wajuza lengo la wito!? Atakuja kuwa mstaafu wa ajabu sana.

Jiwe,yeye anaamini kuonekana yuko na lowasa ni kuonyesha uma kua yeye na upinzani wako vizuri.
Kila mara ni kumsifu lowasa tuu

Issue ya tarime ni mbaya mbaya, anajaribu kuinyima publicity

Hiyo na upotevu wa 1.5 trillions lakini hakuna jinsi tutaendelea kumuhoji tu huyu dikteta kuhusu haya na maovu yake mengine mbali mbali yanaivuruga nchi huku akipandikiza chuki za kutisha nchini miongoni mwa jamii ya Watanzania.

At long last it seems some sages have seen the need to put out feelers on how to save the country from primitive divisive politics, hatred, disrespect of the constitution and arbitrariness.

Let’s wait and see the outcome of this desperate measure but IMO we won’t see any changes at all due to the fact that we have a crook who don’t deserve to be in the office.

mbuyu umeanza kupata nyufa kwenye shina ,yetu macho

http://mobile.thecitizen.co.tz/news/Tax-authority-collects-Sh13-9-trillion-in-11-months/2304482-4644918-format-xhtml-15gcg09/index.html

By Rosemary Mirondo @mwaikama [email protected]

Wahuni waganga njaa wa Dar es saalam hao ,hawastaili jina wazee wa Dar.

Nilimuona akitapatapa anahangaika kama kuku mwneye utitiri! Kwenye dini shida! Upinzani shida! kila sekta linakosolewa. Wasiojulikana nao wana shida wameshindwa kazi. Kuna mbabe wa Tarime ameshindikana kuteka ameua mmoja wa wasiojulikana!! Dictator hana pa kupumulia!! Tundu lissu anakuja
Nililiona linajichekesha kwa Sumaye akalivalia uso wa mbuzi!

updates plz, mwenye fununu walimwambia nin kule,

Ngoja tusubiri…

Cc: @Mahondaw

Time will tell

Hakuna cha maana Mkuu ni ujinga ujinga tu

Mkapa hivi karibuni alidai Elimu inaanguka hivyo akataka kuitishiwa mjadala wa nchi nzima kuhusu Elimu. Jana kamsifia Dikteta kwamba anafanya vizuri!!!

http://sw.rfi.fr/eac/20180319-mkapa-tanzania-inahitaji-mjadala-wa-kitaifa-kuhusu-elimu-0

Mwinyi anaye alidai nchi inaendeshwa kama gari bovu haina sukani. Jana naye kimyaaaaa lakini kamsifia dikteta.

Warioba alidai nchi imepoteza mwelekeo naye kapiga kimya kumsifia dikteta eti anafanya kazi nzuri.

http://www.mwananchi.co.tz/habari/Jaji-Warioba--Nchi-imepoteza-mwelekeo-/1597578-3397722-t1awkg/index.html

Hawa wote ni WNAFIKI wakubwa sana