Hiyo picha sio ajali, huo ni moshi wa kitu cha Jamaica kikipigwa na timu hiyo[ATTACH=full]175657[/ATTACH]
Duh
Maraia wapo high
Yap
Noma sana
Hahahaaa
Hapo ni mamoshi ya bangi tu ndegeni
hahahaaa
Hahahaha. Kwao ni raha sana, sigara bwege yavutwa mpaka ikulu na bingeni
Bangi nibangue
Iko Bomba hadi msisimko
maras ndani ya putin kama wanavyosema okoa division one
Hivi…
Jina ya huo mmea ni Bangi au Bange?
Bhangi
Wavutaji utawajua tu… tehteehhh
hahahah, Rudi JF kila kitu kiko okeee. hahahaha