KIMANI NGUNJIRI RESPONDS TO REMARKS UHURU MADE YESTERDAY ON KUACHIA MWIZI KITI

jaduong

Village Elder
#1
Uyu jamaa ajichunge sana, after sonko Uhuru will come for him.
Amekua akichokoza president for sometime & very soon atafikiwa.
Here is how he responded to the predident's remarks made yesterday.
 

Babagay

Village Elder
#5
Kimani Ngunjiri is a bat an omen of bad luck for my friend!!!!
My friend shall never be a president. WHEN they shout AMA NAMNA NGANI, The answer ought to be NAMNA NGANI????
 

sani

Village Sponsor
#6
@jaduong hadi saa ii hujajua kenyans wako ready ata kufinywa makende sababu ya Ruto? kenyans wamekua kwa mito na bahari, na hawajaona samaki ya kuwashtua bado, so vitisho za government hawazitilii maanani saana
 

sani

Village Sponsor
#8
Baba ndio anaachiwa serikali, mwizi apana
kama president ndio anaamua nani ataingia next, sio voters, na hamna shida na io, chungeni sana, sababu Ruto akiserve yake 10 from 2022 to 2032 ndio atawaamulia nani ataachia ingine 10 hadi 2042.
 
Top