Kinyozi kwa Sadam

Life during that stage when you are a boy is great fun. There are so many unforgettable events that happen at this stage of life that can never be erased from memory. My boyhood was full of drama, turns and twists. Yaani ilikuwa ni Kama ndrama ni kama vindeo. Some incidences were comic, while some were sad, but still very funny! In short, it was like a rolla costa all the way!

I remember this particular incidence that really scared the hell out me. I still get chills to date. We lived in one of the small towns close to Nairobi at some point wen i was a teenager. I was then in class six. As boys, we used to pass time at a certain kinyozi especially during holidays. Everyone used to refer to the place as ‘Kinyozi kwa Sadam’. Sadam was half kiuk/half Somali. He was this slender guy of everage height, with big red eyes, a forehead protruding over his eyes and a curved nose, all that made him have that hawkish look. You know what am saying. He used to bouncy in way while walking. He was always in jeans, sport shoes, and a baggy top na alikuwa ananyoa box. Sadam was, and still is the best kinyozi I have ever come across. Every evening alikuwa akichonga miraa kwa hiyo base yake na majamaa wengine wa estate until very late in the night. Life was good!

We used to act as errand boys for Sadam for a small token, mostly 5bob. One morning Sadam akaniambia niende kwake nimletee maji kwa kibuyu ya 5 litres. Faster faster nikajua pesa ya ngumu imepatikana. I dashed at full speed, nikapata wife yake, akanipatia maji, nikaleta na nika relax. Sadam used to play very good reggae music. We could enjoy the ‘message’ especially in those lazy afternoons during holidays. After kitu kama one hour Sadam akaniuliza niliweka maji wapi. I showed him then he asked me ama nilipata Njeri home. We used to refer to his wife as Njeri. They didn’t have kids though they had not been married for long. I told him nilimpata. Then he asked me walikuwa na nani. Innocently I told him nilimpata na Maish yule wa ku-charge battery. Little did I know eti nimeguza live wire!

Ghafla bin vuu Sadam aliruka nyuma ya mlango akatoa sword kama zile za Maasai morans and dashed to his house at full speed. Akatwambia tubaki hapo anakam. Nilibaki peke yangu especially after kujua blunder yenye nimefanya. The rest of the boys wakamfuata unyo unyo! After ten minutes hivi nikaona kerede ya mtu kaa estate mzima inakam kwa kinyozi, Maish akiwa mbele yao with blood all over. He was bleeding profusely. He came to where I was akauliza,
“Eti huyo Scott Gardener ni nani?”
All kids shouted in unison, “Ni huyu!!!”.
Nikajamba mara tatu!!!
I was a cornered rat. Maish tried to shout at me but his voice became hoarse. He fell on his knees then lay flat on the ground na akazima. Wacha wamama wapige nduru! Mimi nani, siwezi ngoja ngori kama hii. Nikarudi nyuma pole pole, nikapiga corner and engaged top gear. Nikapita hapo kwa kiosk ya Mogaka Kama safari rally, nikaruka fence ya akina Odhis nikatokea side ya home, nikapiga gate ya kwetu teke, nikajitoma chumbani kwetu, nikapitia juu ya meza na sufuria, nikasikia sister yangu amepiga nduru mbili, ndio huyo mimi ndani ya room yangu, nikafunga mlango, na nikanyamaza kimya kwa takribani dakika hamsini bila hata kupumua!!

I confined myself in my room for the next 5 days and 5 nights, with minimal contact to the outside world. My elder bro became my exclusive source of the happenings in our estate for that period. Of course my parents knew what was going on. Nasikia eti Mzae kusikia natafutwa nikaelezee kilichotokea aliruka futi kumi juu, akasema mimi ni mtoto na hataki mapepo. Akawaambia walambe lolo!

As I came to learn later that day from my bro, Maish fainted coz of excessive bleeding, akapelekwa hospitali and he was in stable condition as we were talking. The story goes that Maish alikuwa ex wa Njeri and he used to chovya when Sadam was working hard to put a roof over their heads and a decent meal on the table. Sadam got the wind of it and that’s how we ended up in a Ga dem nigga moment! Maish alipona after a month in hospital but akatoka na scarface kama ile ya Migush! Njeri disappeared into thin air never to be seen again since that time. Naye Sadam akatokomea kule Somalia for 3 months akarudi akiwa rejuvenated baya! Nasikia alihongana karao na 50k naye Maish akarushwa 10k. Kumbuka ni enzi za Mtukufu raisi when with 10k you were considered a mbirrionare. Hiyo story ikaenda chini ya waba just like that.

Pata like msee

apo lazima ungechorea pia pia

My like.

Hapo msee umetuchora

You were a teenager in class six???
Hekaya iko poa lakini

newborn, infant, toddler, childhood, teenage, adulthood…:(:frowning:

Cheza Chini kaka braza :D:D

[ATTACH]162303[/ATTACH][ATTACH]162303[/ATTACH][ATTACH]162303[/ATTACH]
Alikuwa “mtoto mkubwa”

Kali

Hekaya iko poa lakini hapo dakika chwani bila kupumua,umetupara.

Hahahaha

https://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.png

kila mtaa inakuanga na kinyozi flani boyz hukula njaro hapo wakijichocha.

nice hekaya bro

eti ww ni mtoto walambe lolo

Child hood tales. Nice one

Weeh mimi nlishai itiwa polisi juu ya skumbuki nini na neighbour…mzae akasema nlienda shags the last year. Nikahamishwa usiku for several months kwa shosh… kuwa mtoto was fun

Saddam was a lilobit smart huh?

Bril’ hekaya and thanks for paragraphing. I don’t read hekayas with no paras anymore. Ama zile za TBC…