Kiongozi Wa Mossad:Tuna Mahusiano Na Nchi Ambazo Hazina Mahusiano Na Israel!

#11
Hii inaonyesha nchi nyingi ni wanafiki tu.Wanajifanya hawamfagilii Israel halafu chini ya kapeti wanashirikiana habari za kijasusi!
Israel ndo marekani, ukiipinga Israel imeipinga marekani! Nani asiyetaka msaada kutoka marekani?

Hata tz tunautaka ndo maana tunakomaa kufungua ubalozi
 

Elungata

Village Elder
#12
Hivi hii hofu ya Israel itaendelea mpaka lini?
Israel ndio INA hofu ya kutoweshwa,ndo maana inafanya kupre-empt kila kitu,kaulimbiu yao no,Never again.
Kwa maana ya kuwa hawataki tena kuchkuliwa utumwani kama zamani na wako tayari kuteketeza mashariki ya kati yote ikibidi,na sasa hawataki nchi jirani ziwe na uwezo wa kuizidi,kijeshi na kiuchumi kwani wanahofia kumezwa tena.
Ndo maana wanapenda machafuko yaendelee huko Syria,Iraq,Libya etc ili kuzikeep hizo nchi weak
 

Top