Kiongozi Wa Mossad:Tuna Mahusiano Na Nchi Ambazo Hazina Mahusiano Na Israel!

https://www.middleeastmonitor.com/20180614-mossad-head-we-have-relations-with-countries-that-do-not-have-relations-with-israel/

Kwa hiyo?.Sisi tufanyaje sasa.

Taifa teule linalotumia ndege za kivita na vifaru kuwatawanya waandamanaji wenye fimbo na mawe mikononi. Pumbaaaaaavu.

Wangefanya kama unavyodai Gaza yote ingekuwa majivu

Shauri yao Wenyewe
Nalog off

Hii inaonyesha nchi nyingi ni wanafiki tu.Wanajifanya hawamfagilii Israel halafu chini ya kapeti wanashirikiana habari za kijasusi!

Hivi hii hofu ya Israel itaendelea mpaka lini?

Ngoma ikivuma sana mwisho hupasuka paah tena pasiwepo na mwenye kuisongasonga upya

Du

tuangalie fursa ka wao wanavyoangalia fursa tuwapo na matatizo na migogoro

Israel ndo marekani, ukiipinga Israel imeipinga marekani! Nani asiyetaka msaada kutoka marekani?

Hata tz tunautaka ndo maana tunakomaa kufungua ubalozi

Israel ndio INA hofu ya kutoweshwa,ndo maana inafanya kupre-empt kila kitu,kaulimbiu yao no,Never again.
Kwa maana ya kuwa hawataki tena kuchkuliwa utumwani kama zamani na wako tayari kuteketeza mashariki ya kati yote ikibidi,na sasa hawataki nchi jirani ziwe na uwezo wa kuizidi,kijeshi na kiuchumi kwani wanahofia kumezwa tena.
Ndo maana wanapenda machafuko yaendelee huko Syria,Iraq,Libya etc ili kuzikeep hizo nchi weak