• Happy Mashujaa Day

kipute ni cha leo

Status
Not open for further replies.

klevgit

Village Elder
#1
Ahaaa kwa wandau wanasoka kipute cha ligi ya mabingwa barani uropa ni leo.
je unaipigia timu ipi upatu wa kunyakua kombe hilo na unashawishika kuipigia timu tajwa upatu kwa misingi ipi?
mimi kama kawa Barca kombe kwao.
 
MBOMB

Village Sponsor
#2
Ahaaa kwa wandau wanasoka kipute cha ligi ya mabingwa barani uropa ni leo.
je unaipigia timu ipi upatu wa kunyakua kombe hilo na unashawishika kuipigia timu tajwa upatu kwa misingi ipi?
mimi kama kawa Barca kombe kwao.
*wadau
*upato
Timu ninayoishabikia ni timu ya Juventus kwa sababu wachezaji kama Evra na Chiellini wana kisasi cha kulipiza dhidi ya mchezaji was Barcelona ambaye huwa hapendi salamu
lakini anapenda kuuma watu, Luiz (The Vampire) Suarez. (Damn....:rolleyes:)
 
klevgit

Village Elder
#3

:D:D:D'
wadau shukran kwa kunisahihi ila upatu yafaa ibaki vivyo hivyo.
salaam:):)
 
Status
Not open for further replies.

Top