Kisingeli cha kimbaumbau

Kwamba ati unaweza ita nyamafu mzoga nao ukaitika
Kwamba eti unaweza chezesha mnanda na vigutu vikatisikika!
Kiazi jiwe cha JILANI kimekuwa nuksi kuzidi gundu…
Hakikai hakisimami, hakisongi mbele… Hakipigi LIVASI… ovyooo…!!
Hakinong’oni wala hakineni… Kelele tupu kama kiberenge kilicholegea boriti…
Asanteni kwa ukaribisho… Kimfaacho mtu chake… Jirani yako ni yule anayekujali
Jr™

Mna tabu new villagers

Makeke na kamba mwe milundi

Af we ni mshana “Name calling” Ban

Ramli chonganishi umeanza lini?

Bado mshamba nimekureply separate

Ok chapa lapa “mshana junior”

Unaharibu ujue wewe…

Haa hii Jf ya Kenya ni balaa tupu, kiswahili broken tupu

Mzee wa tunguli

Hahahaaa

Kifasihi were ni mshana…tu.
Vipi zile tunguli ulifanikiwa kuziweka pale tiiisiiiaraei?

Mshana alishawah tumia hii avatar kule Misri ilikua zamani kidogo ngoja halifichiki pembe Mzee mwanga

Hahaha sisemi hapa

Hahaha

Mshana hii wiki alikua bize kukusanya mizizi yakila aina Mara ya m’mavi mavi,Mara ya kitunguu kichaa na tunguli kibao ili kufuta vifungu vilivyotupiga pin.

Au anawaogopa wataita manake ni noma kwa matunguli.

Aisee

Hahaha

Wao ndio wananigwaya mimi