Kiswahili endelevu

Ahlan Wasahlan wanakijiji wapendwa. Nina wingi wa matarajio kuwa mu bukheri wa afya! Karibu tutie makali Kiswahili chetu.

MISAMIATI YA LEO.
Leo tutajikumbusha majina kadhaa ya wanyama na wadudu.
-[B]Crab…Kaa
-Python…Chatu
-Beetle…Sururu au Dundu au Bingo
-Rabbit…Sungura
-Hare…Kitungule au Kwanga au Wibari

CHEMSHA BONGO

Elezea haya majina kwa Kiswahili:
-Millipede…
-Leech…
-Centipede…
-Cheetah…
-Cobra…
-Caterpillar…
-Tsetse fly…
-Wasp…
-Squirrel…
-Praying Mantis…

Shukran! Kumbuka kupima sio kufuma.[/B]

Tsetse fly- bung’o
Squirrel- msonga reli

UKO SAWA LAKINI APO KWA CHATU SIKUBALIANI NA WW

sasa wewe @mukuna ukijibu maswali yote mara moja sisi unataka tujibu nini? we ni mlafi sana, thooo!..‘speats on the ground and walks away disgusted’

Sikua na ufahamu kua kuna Sheria. Nimeitoa ili uweze kutoa mchango wako pia

hehehehe, hamna sharia, mie nilikua naku kera tu kiasi, usiuchukue kiuzito, asante lakini, nilikua nataka tu kudaka hiyo ya Cheeta-Duma
roho ilikua imechafuka kiasi lakni sasa iko swafi na kunjufu (oswayo ni ngumu)

Sasa hapa @xuma itabidi uyatafute majina ambayo hayatapatikana kwa urahisi katika google translate…

Hapa tu ndipo pana shida kaka.Hongera kwa kujaribu.

Lakini bado hajayapata yote.

:D:D:D

Sawa kaka lakini bado hakuna aliyepata yote wapi @bababibitoto na @gashwin na @Meria Mata na @Mjuaji ?

Wapi jaribio lako? Usirambaze mtandao.

Cobra = Nyoko mdaku.

:D:D:DSivyo kaka.

Hapo nakubaliana nawe.

cheetah - duma
centipede/milipede - jongoo

[B]CHEMSHA BONGO

Elezea haya majina kwa Kiswahili:
-Millipede… [SIZE=2]sijui[/SIZE]
-Leech… [SIZE=2]nafaa[/SIZE] [SIZE=2]kulijua hili[/SIZE]
-Centipede… mnyoo :slight_smile:
-Cheetah… duma
-Cobra… huyu nyoka asili na makao yake bara Asia. Analo jina la Kiswahili kweli ?
-Caterpillar…
-Tsetse fly…bung’o
-Wasp…
-Squirrel…
-Praying Mantis…ugoka[/B]

:D:D:D:D

Nafkiri cobra ni gitarara

Hakuna haja nijiaibishe,mimi kiswahili apana mdomo changu--------------------------------------------------------------------------i seat here.

Wasp…Dondoa