Kiswahili endelevu

Shabash! Wanakijiji wapenzi tujitose tena katika ulingo huu wa kutuelimisha na kututoa ubutu kwa kunoa makali yetu katika matumizi ya kila siku ya lugha tunayoienzi ya kiswahili. Leo tunaangazia ‘semi’.

Semi
Semi ni mafungu mafupi ya maneno yenye maana iliyofichwa. Semi nyingi huwa na maeno mawili tu. Leo katika kipindi hiki tutazingatia semi zinazotumia maneno kama; Kupiga, Kuona, Kukata, Kula na Kufa.
Matumizi ya semi hutia lugha nakshi na kumfanya anayezitumia kuonekana mweledi wa lugha na mkwasi wa misamiati.

Mifano
-[B]Kupiga maji…Kunywa pombe ua kulewa
-Kupiga bongo…Kufikiria au kuwaza
-Kupiga mbizi…Kuogelea
-Kupiga jeki…Kumsaidia mtu

-Kula rushwa…Kupokea hongo
-Kula njama…Kufanya mpango wa siri
-Kula Kalenda…Kufungwa gerezani

-Kata kamba…Kufa
-Kata Kiu …Kunywa maji ili kumaliza hamu ya kunywa maji

-Ona Kijicho…Kuwa na wivu
-Ona njaa …Kuhisi njaa
-Ona fahari…Kufurahia au kujivunia kitu fulani.
-Ona haya…Kuaibika.

ZOEZI
Elezea maana ya Semi zifuatazo

-Kupiga Chafya…
-Kupiga miguu…
-Kupiga miayo…
-Kula vya mwiki…
-Kula murututu…
-Zunguka mbuyu…
-Laza damu…
-Kuwa kisu butu…
-Kuwa tumbo moto…
-Kata kamba…

Kina @epoch (huku ndiko tuliko) , @Mjuaji , @gashwin , @Eng’iti , @Meria Mata , @introvert (hujaniambia mwanao alipata alama zipi kwenye mtihani wa Kiswahili), @mukuna , @123tokambio ,@The_Virus na kikosi chote cha lugha karibuni.

‘Bora kujikwaa kidole kuliko kujikwaa ulimi’.[/B]

9 Likes

Apan tambua French

Kuma tumbo moto- wasiwasi
@Colombo-Combolo njoo kidogo

1 Like

ZOEZI
Elezea maana ya Semi zifuatazo
-Kupiga Chafya…ku sneeze
-Kupiga miguu…ku trek
-Kupiga miayo…ku yawn
-Kula vya mwiki…
-Kula murututu…
-Zunguka mbuyu…
-Laza damu…kupata rest
-Kuwa kisu butu…poteza makali/grip
-Kuwa tumbo moto…Kuwa na wasi wasi anxiey
-Kata kamba…kufa

2 Likes

mzee xuma. sorry for going off topic but can u give the lyrics translation of riva by madilu?

1 Like

Umenoa kaka @xuma …kuchapa maji ni kuingiza-Kutoa sehemu ya kike yakutolea vilomaji

1 Like

Ahlan wa sahlan, nashkuru sana kwa kunikaribisha kwenye mjadala huu wa kiswahili endelevu…
:D:D:D

-Kupiga Chafya…Toa pumzi kwa kasi kupitia mdomoni
-Kupiga miguu… Tembea
-Kupiga miayo… Panua mdomo wazi huku ukivuta pumzi
-Kula vya mwiki… ( @mukuna atawakilisha )
-Kula murututu… [ATTACH=full]85703[/ATTACH]
-Zunguka mbuyu… Peana au (pokea?) rushwa
-Laza damu… Zembea au Tepetea
-Kuwa kisu butu… Pungukiwa na uelewevu; kosa makali, yaani domo domo tu bila vitendo, kama za WAKA group of handles
-Kuwa tumbo moto… (ina maana sawa na tumbo joto? Niweke sahihi hapa)
-Kata kamba… Aga dunia, fariki

7 Likes

kulaza @xuma ndani-kutomba.Mfano katika sentensi: @uwesmake alikata kamba za thong ya @Female Perspective kwa meno kisha akalaza @xuma ndani

7 Likes

@123tokambio jana najua mmetendewa, hiyo mechi ya Bayer na Napoli ilikua fixed

1 Like

Kulaza damu- uzembe
Kula murututu-pokezwa matusi

2 Likes

-Kupiga Chafya… Kuchemua
-Kupiga miguu… kutembea kwa muda
-Kupiga miayo… Kuonesha uchovu / hisia za njaa kwa kufunua mdomo
-Kula vya mwiki…
-Kula murututu…
-Zunguka mbuyu… Kula rushwa
-Laza damu… zembea
-Kuwa kisu butu… Kuwa mjinga/ Huelewi kwa urahisi
-Kuwa tumbo moto… wasiwasi
-Kata kamba…

1 Like

:D:D:D:D

Nitafanya hivyo kakangu.

-Kupiga Chafya…kuchemua/ guathimura
-Kupiga miguu…kuzurura
-Kupiga miayo… Kupanua mdomo kwasababu ya njaa au usingizi/ Kuria mieo
-Kula vya mwiki…
-Kula murututu…
-Zunguka mbuyu…
-Laza damu…
-Kuwa kisu butu…
-Kuwa tumbo moto…
-Kata kamba…aga dunia

1 Like

@123tokambio ina maana Mona kakangu. Gumbo joto na kuwa na tumbo moto.

Karibu katika uchanjaa huu @Mrs4thletter . Twaudhamiri mchango wako.

1 Like

Majibu sahihi na usahihishaji wa arafa zenu ni majira ya jioni.

1 Like

thanks brother,

let me ask you this when they say ‘faute’… yaeza kua ina maanisha nini?

simaro litumba bado ako hai?..

1 Like

Faute siyo kilingala bali ni neno la kifaransa kumaanisha kosa ama ‘fault’ kwa kiingereza.
Mara kwa mara wasanii wa lingala kutoka Jamhuri ya Congo Kinshasa na Congo Brazzaville huchanganya hizo lugha mbili katika nyimbo zao.