Kiswahili will ultimately become a continental language

[ATTACH=full]448708[/ATTACH]

:cool::cool::cool: but it is also very sad that majority of Kenyans cannot express themselves properly in Kiswahili.

Ni Jambo la kuvunja moyo

Wengi wanadhani kuzungumza Kiswahili sanifu ni kutoelimika.

Pale Greensteds International school; Swahili is not even an option my daughter can have. Hawatambui kapsaa. It’s kinda fucked up but … ooh well.

Siku hizi na ota na swahili.

Kutikisa kitanda pia na swahili.

Kwa maombi lugha ya mama.

Lakini kwa mkutano badi niko kiingereza.

I find it funny tukiongea ni sheng tukichat ni English

Vipi jombaa ume shindaje kaka? Mimi niko ngangari. Kiswahili ni lugha mufti.

Hapo kwa kuota kuna vile umetubeba mdau. You can’t be the main character and write ur on script in dreamland.

:D:D Nimeshinda vyema. Mimi pia kiswahili nimekitukuza.

Mungich… "ngangari " … ni swahili sanifu kweli

ni neno la kiswahili

Nilidhani ni lugha la mitaani. Naomba uniradhi mwenzangu. [SIZE=1]Goddamnit … fluent Swahili is hard.[/SIZE]

Uniwie radhi

Goddamnit … just when I thought I had it nailed.

:D:D lugha la mtaani…
Kwa kiswahili sanifu, sema

“Lugha inayotumika mitaani”

I give up…

And thereafter all kishahili speaking countries will develop their lingo just like sheng in Kenya. There will be no such thing as standard swahili.

:D:D kiswahili joh ni ngumu saidi

Elders tujaribuni ku comment Kwa kiswahili mufti…:D:D
Nangoja elders kama @uwesmake wandike kibagusii