Kwa wataalam wa lugha: Andika kwa Kiswahili : "IT'S NOT AN AEROPLANE, IT'S A BIRD."
Hi3hland3r Village Elder Feb 10, 2015 #1 Feb 10, 2015 #1 Kwa wataalam wa lugha: Andika kwa Kiswahili : "IT'S NOT AN AEROPLANE, IT'S A BIRD."
jameson Senior Villager Feb 10, 2015 #2 Feb 10, 2015 #2 Sio chombo cha usafiri kinachoitwa ndege, ni ndege yule kiumbe. Last edited: Feb 10, 2015
Electronics4u Village Senator Staff member Feb 10, 2015 #6 Feb 10, 2015 #6 sio ndege za ki vita, ni ndege mwewe..