Kitaeleweka: I Have Already Reported!!!

Thurakus na Babuonists, mhesabiwe na amani. Niliwambia naenda kutafuta shamba UG peasants zikaanza ooh, baki tujenge nchi, ooh ngojea uhesabiwe, ooh lipa deni yako ya chinaman. Brothers, I love you but I love me and my kids present and future circumstances more and all I can tell you for now is; FUCK YOU!!! Sitombwi na jubilee nikiona. I left your vumbistan at 730pm. Saa hii Niko across nikimumunya pole pole nangojea asubuhi I proceed na matatu za huku. Life is cheap.and carefree. Beer ni 90, ugali kuku 150 na kutomba ni sawa na bure. Bebs wa huku hawana demands za kijinga.
All I can say for now is; Wakenya tulijitomba wenyewe, tukubali matokeo. And to my fellow thurakus and jakuonists, as the great Alexander XXI said, pambaneni na hali yenyu. Ghaseer. +18 zinakuja asubuhi.[ATTACH=full]255862[/ATTACH]

uganda iko namna gani mdau? kuna hii mambo ya oppression huko, bobi wine…etc. mi huu dhani huko kume nuka mdau

Naona umenunuliwa Pilsener na Museveni. Sasa pitia hapo chini kwa chemist ununue lube its gonna be a long night. Hiyo pombe utalipia.

Hii place ni poa sana if you keep out of politics. You can literally fly under the radar provided usilete ujuaji ya Kenya huku. Ukijifanya mjuaji kulala kwa jela is almost guaranteed. Life is cheap and easy going and an average Ugandan does not care about what you think on anything, just party.
Chakula ni mingi so one can make money out of exporting to Kenya. Alternatively identify what is sellable in Kenya, import through Uganda and export to Kenya through panya routes though risky as it comes.

Jipigie debe ile kitu wewe hufanya. You confessed without duress.

256 ni kuzuri wewe, m7 is in control n nobody cares, Bobbi wine is kelele tupu but doesn’t affect our daily activities, staying out of politics, good food is mob, pesa ik so long as u work like a kenyan. Rao n konyagi r not helping Kenyans at all. 256 land is 100% arable

Hiyo Pilsner ni ya Kariobangi ya huko ama mbona inaitwa Pilsener?

Uganda Mimi kama mgisu Niko na acre mia mbili great grandfather aliniachia huku Kenya naye kama mbukusu Niko na acre mia grandpa aliniachia , dual citizen.

Homeland Cameroon ndio soon ntaenda kuangalia real ancestral mugunda

Niiice! yenyewe naona niki kam huko pia nikijipanga vizuri. The important question though is how do they treat/feel about foreigners/kenyans?. siwezi taka kuishi pahali nachukiwa kwasabu mimi ni foreigner. hakuna ile xenophobic upuss ya SA?

:D:D:D
Tumejua umeenda uganda you can now delete this post… saitan.

Baba, as a Kenyan, with konyagi and his brother, you is fucked. Big time. Wacha chuki.

Kenyans are fucked. Kama uko na kakitu na umesoma, jitoe pole pole tuu. It will be long before tuone prosperity ya kibaki. There are people at treasury who still believe they can borrow and tax their way out of this quagmire. Now, this is fundamental. This should be worrying to any Kenyan with a functional head.

Hawana shida na waria. If you speak Kikuyu/Kiswahili ndio wengine hawapendi. Use english or learn the local dialect.

Hapo sawa…na ujifunze basic chiganda

Mahali ingine poa ya kunukisha kitunguu ni Rwanda Kigali…ukijua basic Nyarwanda wewe nakua sawa sana

My fren these ppl love Keyans, here things work, it is very easy kwenda majuu from here.
Kenyans here have alot of business, bkshops, hotels, chemists etc and are many.
Places like ggaba rd unakuta many Kenya vehicles, in bugos we speak swshili, nyumbani tena, kitindo etc.
Wkends no stress, wizi minimal, kdf ya UG hupatrol, not locked in barracks and the ppl r good.
Coming back to 254 will be a revolution pap to send those dynasties home

Hapo Ggaba beach wanauza very tasty fish.

I have young family and at times it’s getting worrying of how things are going on in this country. Leaving +254 has been lingering my mind. Rwanda is a place I would love to relocate too. Am a part time forex trader, if I ever get $10,000 to trade am selling of everything and leaving.

Uganda’s GDP is almost equivalent to ours ya huko 2006-2008 hapo and they have a population of around 40M i hear…if you are a kenyan that’s been priced out by the high cost of living here Uganda is a good way to establish yourself…a friend of mine told me biashara ya pharmaceuticals and chemist,or coffee does well…life seems cheap too kuna some time back i heard a ugandan presenter Anita fabiola bragging of a KSh300K salary nikashangaa

I’m sure you will sneak back !

So we should all relocate to other countries instead of looking for solutions to problems facing our country?