Kitambi but not overweight

Wale hatuko overweight lakini kitambi inakuja na fujo tufanye nini? Na mambo ya sijui hakuna kukula from 3pm - 10am haiwezekani.

Kimbia

sit ups na ukimbie

invest in a roller

Jaribu swimming… huwezi drown.

@KinduKiega na @kush yule mnono kujeni .

so you are a skinny fat man ?

Ongeza utambi kabisa. Very much recommended…

Uko 30+?

Punguza pombe. Alcohol inhibits fat burning kwa damu. Mpaka gauge iishe kwa damu ndio mwili irudi kuburn fat.

Pia ka we ni fan wa ugali sana punguza pia.

Mimi tumatako na tumiguu tunaendela kukonda nayo kifua na shingo kunona na sisumbui

hio ni kitambi ya umaskini utasota kidogo tuu ipungue urudi normal

Consider cycling. It has worked for me.

Apana. Only 24

Can’t, wacha nikae na kitambi, kwani iko nini?

Then uko na shida

With time that fat kwa kitambi will inhibit flow of testosterone hormones, then making love [SIZE=1](NB iv used a pink handlers appealing language)[/SIZE] will be a problem. You know there is something you need to do. Figure out na ulete hekaya

Si tuwache wale wanataka usaidizi wapate Ndelefa.

Enda uzae

Mimi kitambi yangu iko chini ya maji. Haionekani