KITAMBI

How do i get a belly, (kitambi) quickly. , saidia captain

Fobe na nyama daily…Avoid thanking me at all costs…

8 Likes

how long will it take to develop

Kula chakula nyingi very fast Na usikunie. Very quick method.

14 Likes

Help the captain, prizzz

Wala usinyambe

2 Likes

Guiness nne daily, nyama ya mbuzi, sanasana tumbukiza.

Hio hukam kama unakula poa na unakunywa beer daily. Food accompanying the beer itakua fry kama half ivi, fish, kuku ivi. Alafu ulienda home unakula tena. Morning brekko ni kila kitu pia.

1 Like

Sante sana

1 Like

Kitambi ni kifo

1 Like

kunywa tu Busaa 2ltr na Uji 2ltr kama Tot ya JD na Chaser, thank me now

Naona unatafta “the sponsor look”

Kula carbohydrates mingi na ukunywe beer pia kwa wingi. Ukiona progress ni slow, kunywa elianto live live.

Hii kitu ni noma boss wachana nayo. Najaribu kulose lakini wapi. Na sikatagi maji hata.

Ukiwa na kitambi
Utamangiwa pipi shait

Kitambi niya nini unataka captain.

Myth busted.

1 Like

Enda ukule mawe ya quarry uteremshe na elianto litre mbili

please talk to kihii akupe recipe

Hii kitu ni shida wachana nayo

1 Like