Kitanzi

Iddy

Village Elder
#1
Manze nimefeel sad sana kucheki design wasee huadvise wengine ngori joh. How come unamshow msee ati akitaka kudedi aopen mdomo wide na amshow beshe yake atupe grunade ndani ndio akifilie mbali?. Advise za kisenge kaa hii ndio inefanya tumpoteze mwenzetu
REST IN PEACE
@Alchemist
 
Top